VYOMBO /TAASISI/VYAMA VYENYE LEONGO LA
KUSIMAMIA,KUKUZA KUENEA NA KUIMARISHA
LUGHA YA KISWAHILI DUNIANI NI;
NA
|
JINA
KAMILI
|
UFUPISHO
|
MWAKA
KILIOANZISHWA
|
NCHI KILIOPO
|
1.
|
BARAZA
LA KISWAHILI TANZANIA
|
BAKITA
|
1967
|
TANZANIA
|
2.
|
BARAZA
LA MITIHANI TANZANIA
|
BAMITA
|
1967
|
TANZANIA
|
3.
|
BARAZA
LA KISWAHILI ZANZIBAR.
|
BAKIZA
|
1984
|
ZANZIBAR
|
4.
|
BRITISH BROADCASTING
COOPERATION
|
BBC
|
1950
|
LONDON
|
5.
|
CHAMA
CHA KISWAHILI KENYA.
|
CHAKIKE
|
1980
|
KENYA
|
6.
|
CHAMA
CHA KISWAHILI TAIFA.
|
CHAKITA
|
1998
|
KENYA
|
7.
|
CHAMA
CHA KISWAHILI AFRIKA.
|
CHAKA
|
1978
|
TANZANIA
|
8.
|
CHAMA
CHA UKUZAJI KISWAHILI DUNIANI.
|
CHAUKIDU
|
2012
|
TANZANIA
|
9.
|
CHAMA
CHA WANAFUNZI WA KISWAHILI AFRIKA MASHARIKI.
|
CHAWAKAMA
|
2004
|
KENYA
|
10.
|
CHAMA
CHA KISWAHILI CHUO KIKUU CHA DAR-ES-SALAAM.
|
CHAKIKUDA
|
1996
|
TANZANIA
|
11.
|
TAASISI
YA TAALUMA ZA KISWAHILI
|
TATAKI
|
2009
|
TANZANIA
|
12.
|
TAASISI
YA ELIMU YA WATU WAZIMA
|
1963
|
TANZANIA
|
|
13
|
TAASISI
YA UKUZAJI WA KISWAHILI
|
TUMI
|
1987
|
TANZANIA
|
14
|
CHAMA
CHA USANIFISHAJI WA KISWAHILI NA USHAIRI
|
UKUTA
|
1959
|
TANZANIA
|
15
|
UMOJA
WA WAANDISHI WA VITABU TANZANIA
|
UWAVITA
|
1974
|
TANZANIA
|
16
|
RADIO
FREE AFRICA
|
RFA
|
1997
|
TANZANIA
|
17
|
ZANZIBAR
BROAD CASTING CORPORATION
|
ZBC
|
1941
|
ZANZIBAR
|
18
|
BARAZA
LA KISWAHILI AFRIKA MASHARIKI
|
BAKAMA
|
2002
|
TANZANIA
|
19
|
UNIVERSITY
MISSION TO CENTRAL AFRICA
|
U.M.C.A
|
1875
|
UINGEREZA
|
20
|
BARAZA
LA UKUZAJI MITAALA
|
BAUMI
|
1996
|
TANZANIA
|
MAREJEO
Chuwa, A. R & Kihore, M.Y (H.T) Kiswahili katika karne ya ishirini na moja. Dar-Es-
Salam: Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili Chuo Kikuu
cha Dar-es-salam.
Hokororo,J.I.,Kihore,Y.M.& Massamba,D.P.B.(1999). Sarufi miundo Ya
Kiswahilisanifu (SAMAKISA). Dar-es-Salaam: Taasisi ya
Uchunguzi wa
Kiswahili.
Maganga, C. (1977). Historia
ya Kiswahili. Tanzania: Chuo Kikuu Huria cha
Tanzania.
Massamba, D.P (2002). Historia
ya Kiswahili 50 BK hadi 1500 BK. Nairobi: The Jomo
Kenyatta
Foundation.
Saluhaya, M. Ch. (2010). Kiswahili-1: Nadharia ya Lugha Kidato cha tano na cha sita.
Dar-es-saalam:
STC-Publisher.
No comments:
Post a Comment